Jumapili hii ilikuwa ni siku ya Kuvuna maana wapendwa wengi walipata nafasi ya kumpokea Bwana Yesu Kristo na kukiri kuwa ndiye Mwokozi wao, hapa waliokoka wakiombewa na kuingia katika maisha mapya yenye yenye matumaini. Ni katika kanisa la
Assemblies of God la Dar Calvary Temple (DCT) Tabata Shule- Dar Es Salaam
No comments:
Post a Comment