Waacheni Watoto waje kwangu kwa maana Ufalme wa Mbingu ni wao, hapa wanaonekana wakifurahia nyimbo kutoka kwa Waimbaji wa sifa Praise team DCT Tabata Shule. |
Mchungaji Kiongozi Rev: Ron Swai akimkaribisha Askofu Lawrence Kametta kwa ajili ya Mahubiri katika Viwanja vya DCT- Tabata Shule. |
Mchungaji Tchako akiabudu na kusifu na kwaya ya Praise Team DCT - Tabata Shule |
Mchungaji Mwakasege akimlaki Askofu Lawrence Kametta akiwa na mkewe ambaye anasalimia na Mchungaji Kiongozi Rev: Roni Swai wakiingia katika viwanja vya (DCT) Tabata Shule |
No comments:
Post a Comment