Mzee wa Kanisa Mnishi akiwakaribisha na kuwapa maelezo Wongofu wapya katika kanisa la DCT- Tabata Shule |
Mwimbaji mahiri wa Muziki wa Injili nchini Jenifer Mgendi naye alikuwepo katika viwanja vya DCT - Tabata Shule akisikiliza Mahubiri yakiendelea kutoka kwa Askofu Lawrence Kametta. |
Mchungaji Kiongozi Rev: Roni Swai akiwawekea mikono na kuwaombea waliokoka jioni ya Jumamosi. |
Mchungaji Kiongozi Rev: Roni Swai akiwa Askofu Lawrence Kametta pamoja na Mama Askofu mama Kametta. |
Mtoto akicheza kwa furaha nyimbo nzuri kutoka kwa Shika ya Yesu Band ambayo ilikuwa ni kivutio kikubwa kwa Waumini waliofika katika viwanja vya DCT- Tabata |
No comments:
Post a Comment