Sunday, March 11, 2012
MAOMBI KWA WATU WENYE SHIDA MBALIMBALI.
Askofu Lawrent Kameta akiombea waumini waliosogelea mbele kwa ajili ya Maombi katika Kanisa la TAG la Dar Es Salaam Calvary Temple (DCT) Tabata Shule. Dada huyo anayeonekana hapo akiwa amewekewa mkono na mchungaji baada ya kuokoka na kupandwa na Mapepo Mashemasi wakito msaada kwa Mwongofu huyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment