sl

Paul Rand Be Identified Playground

Sunday, January 29, 2012

KARIBU DAR CALVARY TEMPLE (DCT) TABATA SHULE

Tunafurahi mno umepata nafasi ya kusali nasi leo! Ahsante 
kalvary ni kanisa linalowaunganisha watu wa tamaduni tofauti hapa Dar ili kumwabudu mungu kwa pamoja, mahali hapa utajifunza kweli kuu za kibiblia ambazo ukizitendea kazi zitabadili maisha yako.

Hapa kalvary tunayaka pawe mahali ambapo kila anayekuja atapata nafasi ya ushirika na mungu  kisha na watu wengine watakaopenda na kukuhudumia.

Basi uwe huru!
karibu ufurahie maisha yale ambayo mungu  ameyaanda kwa ajili yako.

jiunge nasi katika kipindi cha kusifu na kuabudu ushirikiane na waimbaji wa sifa kumwabudu mungu.

Furahia mahuiri na mafundisho ya mafafanuzi ya maandiko yatakayobadilisha maisha yako daima.

Taratibu za ibada zetu
Jumapili   saa  1:00 - 3:00 English service
              saa  3:00 - 4:00  Uanafunzi
             saa   4:00 - 6:00 Ibada ya kiswahili
           NB: ibada ya kiingereza itaanza tarehe 5 february 2012


Wasiliana nasi:
Mchungaji kiongozi - Rev Ron Swai 0767 520 968, 0784 520 968

Wasaidizi-Mch. Mwakasege - 0754 296 774(msimbazi-shemasi zetu)
                Mch. Tchaku- 0762 936 133(sifa na vijana)




                            TUPO TABATA SHULE ILIYOKUWA TAG. GALILIYA

No comments:

Post a Comment